Bongo5 ExclusivesBurudaniDiamond PlatnumzHabari
Diamond, Wizkid na Focalistic walivyokutana Backstage AFRONATION Ureno
Wakati Show za wasanii wengine zinaendelea Backstage walikutana @diamondplatnumz kutoka Tanzania, @wizkidayo kutoka Nigeria na @focalistic kutoka Afrika Kusini wakabadilishana mawazo.
Unahisi inaweza ikatokea collabo kati ya @diamondplatnumz x @wizkidayo na @focalistic ??