Bongo5 ExclusivesBurudaniHabariMahojiano

Jay Melody aweka rekodi Youtube, audio ya Nakupenda yaongoza

Kwenye wimbo wa CHAMPION @harmonize_tz amejaribu kueleza namna alivyotoa kimaisha na kimuziki mbele ya @babutale @mkubwafellatmk @sallam_sk na Asake wa Tandale akimaanisha @diamondplatnumz

@harmonize_tz pia ameweka wazi kuwa @kondegang amebaki yeye na @ibraah_tz tu mbali na hilo kwenye kipindi cha #recapnamando @el_mando_tz amejaribu kuuchambua ujumbe wa @rayvanny aliotoa shukrani kwa @diamondplatnumz baada ya kusema bila @diamondplatnumz asingekuwepo @rayvanny lakini pia namna @harmonize_tz na @richmavoko walivyorudisha kwa @diamondplatnumz baada ya sapoti yake.

Mbali na hilo kwenye Recap na Mando tumezungumzia pia kuhusu wimbo wa msanii Jay Melody Nakupenda ambao umekuwa wimbo wa kwanza audio kuwa na views wengi kwa nyimbo za Tanzania kwa muda wote Youtube.

Ina views milioni 12 huku wimbo wa Mario Miamor ukiwa na Views milioni 7.2 , Diamond ft Zuchu Mtasubiri Milioni 6.7, Tetema ya Rayvanny milioni 6.

Pitia kwenye #recapnamando kwenda kuufahamu uchambuzi mzima kuhusu baada ya masakata yanayoendelea yanayowahusu wasanii wa Bongo Fleva.#recapnamando

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents