HabariMichezo

Kocha Nabi afungiwa 

Kocha wa timu ya Young African, Nasreddine Nabi amefungiwa michezo mitatu na kutozwa faini ya Sh. 500,000 (laki tano) kwa kosa la kuwashambulia kwa maneno mwamuzi wa kati na mwamuzi wa akiba wa mchezo wao dhidi ya Ihefu FC uliyomalizika kwa kufungwa 2-1.

Nabi aliendelea kufanya kitendo hicho hata baada ya kuonywa kwa kadi ya manjano.

Adhabu hii ni kwa uzingativu wa Kanuni ya 42:2(2.1) ya Ligi Kuu kuhusu Udhibiti kwa Makocha.

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents