Michezo
Droo ya robo fainali ya ‘UEFA’ yatoka,Man United kukutana na Bayern Munich
Droo ya robo fainali ya ligi kuu ya mabigwa Ulaya, UEFA leo imetoka ambapo mabingwa watetezi Bayern Munich watakutana na Manchester United kwenye uwanja wa Old Traford.
Wakati huo huo, Chelsea itasafiri mpaka kwa mabingwa wa Ligue 1, PSG kabla ya mechi marudiano itakayochezwa katika uwanja wa Stamford Bridge.
Timu ngingine ni Barcelona Vs Atletico de Madrid,Real Madrid CF Vs Borussia Dortmund,ambapo mechi hizo zinatarajia kufanyika kuanzia April 1 mpaka April 9.