Habari
Cristiano Ronaldo achukua tuzo ya mwanasoka bora wa Ulaya
Mchezaji nyota wa Ureno na Real Madrid, Cristiano Ronaldo usiku wa kuamkia leo mjini Monaco, Ufaransa amekabidhiwa tuzo ya Mwanasoka Bora wa Ulaya.
Christiano Ronaldo baada ya kushinda tuzo
Wachezaji ambao alikuwa akishindanao katika kinyang’anyiro hicho ni mchezaji wa Bayern Munich, kipa Mjerumani Manuel Neuer na winga Mholanzi Arjen Robben pamoja na Ronaldo (katikati) akifurahia baada ya kushinda tuzo hiyo.