Habari

ACT wazungumzia uteuzi wa Bi Anna Mghwira

Chama cha ACT Wazalendo kimepokea uteuzi wa Mama Anna Mghwira huku kikisema uteuzi huo umefanywa wakati Mama huyo akiwa nje ya nchi na baada ya kuingia nchini, kesho uongozi wa chama hicho utafanya mazungumzo juu ya namna mama huyo atakavyoteleza wajibu wake wa Uenyekiti wa chama na majukumu mapya.

Soma taarifa kamili:

Na Emmy Mwaipopo

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents