Burudani

Adam Juma atoa ushauri wa bure kwa ma-director: Ubunifu ndio utakaotuokoa katika ukame huu

Muongozaji wa video za muziki nchini, Adam Juma ametumia akaunti yake Instagram kutoa ushauri wa bure kwa waongozaji wenzake.

Adam Jumaa

Hiki ndicho ameandika Adam:

“Kwa madirector wadogo na wakubwa, hakuna mafanikio yanakuja kirahisi rahisi, hakuna media itakayokuokoa katika ukame wa kazi utakapo wasili. Sifa hujenga kiburi akili hujenga ustaarabu, mafanikio yako yapo mkononi mwako- hata wakishot mbinguni isiwe sababu ya ww kuacha na kutoipenda kazi yako. Simama kwenye mstari na ujiamini, usishindane na upepo wa dunia hautashinda. Hakuna anayeweza akawa num 1 kila siku na ukilijua hili utalala vizuri bila stress. Kila kazi ya mikono yangu ni zawadi kwa atakaye ipenda na kuichukia, najiamini na naipenda kazi yangu. Ubunifu ndio utakao tuokoa katika ukame huu na sio budget, uongo, chuki na majigambo. Stay blessed all. AJ”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents