Burudani

Aloy Sazia wa The Base apata shavu jipya

Mtangazaji wa kipindi cha The Base kupitia ITV, Aloy Sazia anatarajia kurejea upya katika spika za radio yako kongwe ya Radio One.

Aloy ambaye alikuwa akifanya kazi ya utangazaji wa radio miaka mitatu iliyopita kabla ya kuhamia kwenye TVĀ  na atarejea upya kwenye radio kuanzia Jumapili hii katika kipindi cha Top20 ya Radio One kuanzia saa 5 asubuhi hadi 7 mchana.

“Namshukuru Mungu kwa Kunipa kibali tena cha Kusikika Kwenye Radio Kongwe Nchi hii I know kuna baadhi Watu mmemis kunisikia kwa Radio Cheaf Aloy sazia A.k.a Mepembe Amerejea This Time Anakupa Hesabu za Kiburudani Kwenye Radio one Top 20 ,Hakika hii Nafasi Adimu sana Kupata Brand kubwa kama hii Nchini Tanzania Nimeaminika Na Watu na mimi Naahidi kukupa Unachostahiki share habari kwenye social media zako tag@aloysazia@aloysazia Unahisi show itakuwaje I know mnajua Kazi yangu sasa tell people Mda ni huo wetuuu nchi nzima 5 mpka 7 Kamili mchana Juma pili,” ameandika Aloy kupitia matandao wa kijamii wa Instagram.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents