Michezo

Arsene Wenger na mke wake waachana

Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger ameachana na mke wake baada ya kuwepo tetesi za miezi kadhaa kuhusu shida kwenye ndoa yao.

Arsene-Wenger-and-wife-split

Wenger na mke wake huyo, Annie, 59, wamedaiwa kukubaliana kuhusu kugawana mali walizochuma pamoja. Wawili hao wenye mtoto mwenye miaka 18 hawajawahi kuonekana kwenye picha pamoja tangu mwaka 2013.

Kocha huyo aliwahi kudai kuwa pressure ya kazi yake hiyo ya London ilikuwa ikiongeza matatizo kwenye uhusiano wake.

Wawili hao walifunga ndoa December 2010 baada ya kuwa na uhusiano wa miaka mingi.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents