Michezo

Azarenka amshinda Serena na kutwaa ubingwa wa michuano ya wazi ya BNP Paribas

Mwanadada nyota wa mchezo wa tenesi Victoria Azarenka amemshinda mpinzani wake Serena Williams na kutwaa ubingwa wa michuano ya wazi ya BNP Paribas.

victoria-azarenka-01

Azarenka alipata ushindi wa seti 6-4 6-4 katika mchezo mgumu dhidi ya nyota namba moja kwa ubora wa mchezo huo Duniani kwa Wanawake .

Baada ya ushindi huu nyota huyu wa tenesi atasogea hadi katika nafasi ya kumi bora katika viwango vya ubora kuanzia jumatatu hii.

Na huu umekua ni ushindi wanne kwa Azarenka mwenye 26 katika michezo 21 waliyowahi kukutana na Serena

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents