Burudani

Baada ya kufunga ndoa Kim abadili jina lake Twitter na Instagram kuwa Kim Kardashian West

Siku chache baada ya kufunga ndoa na baba wa mwanae Kanye West, Kim abadili jina lake katika akaunti zake za Twitter na Instagram na sasa ni Kim Kardashian West. Mrs West amefanya mabadiliko hayo jana (May 29).

kim west

kim west4

Mr & Mrs West walifunga ndoa Jumamosi iliyopita (May 24) huko Florence, Italia na harusi yao kuhudhuriwa na ndugu pamoja na baadhi ya watu maarufu. Ripoti zinasema kuwa wazazi hao wa North kwa sasa wako Ireland kwenye fungate yao.

kim west3

Juzi Kim alipost picha za kwanza za harusi yao na kuandika ‘Mr. & Mrs. Kanye West’ katika moja ya picha hizo.

kim west2

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents