Burudani

BASATA washikwa kigugumizi kujibu sakata la WCB na Rich Mavoko ‘nyie mmesikia kafukuzwa tayari?’ (+video)

Baraza la Sanaa Taifa (BASATA) leo limewakutanisha tena Rich Mavoko na Uongozi wa WCB akiwemo Diamond Platnumz kujadili ishu ya mkataba inayoendelea kati ya msanii huyo na lebo ya WCB.

BASATA wameshindwa kueleza kwa kina ni mambo gani waliyoafikiana lakini wamesema wanachojua ni kwamba Rich Mavoko yupo WCB na hajafukuzwa hizo ni ishu za mitandaoni.

Related Articles

10 Comments

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents