Michezo

Bayern Munich yaitaka Manchester United kutoa kitita kinono kama inahitaji huduma ya Boateng

Klabu ya Bayern Munich ya nchini Ujerumani imeitaka Manchester United kutoa kitita cha pauni Milioni 50 kama inahitaji huduma ya Jerome Boateng.

United imekuwa ikihaha kuhakikisha inaingia kandarasi na beki huyo mwenye umri wa miaka 29 anayekipiga kwenye timu ya Bayern ili kuimarisha eneo la ulinzi.

Jose Mourinho amemuweka Boateng kwenye listi ya wachezaji nane anao wahitaji katika eneo la beki wa kati ndani ya Manchester United. Hata hivyo United ipo kwenye mazungumzo na klabu ya Tottenham juu ya Toby Alderweireld.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents