Burudani

Billnass: Usifanye makosa kumuacha mwanamke aliyekamilika kisa mwanamke mzuri

Kupitia ukurasa wake wa Instagram rapa wa Bongo Fleva Billnass ameandika ujumbe huu:

“ Kuna wakati unatakiwa Kuharibu kitu kilicho kamilika kwajili ya kutengeneza kitu kizuri !! Lakini Usifanye makosa kumuacha Mwanamke Aliekamilika kwajili ya Mwanamke Mzuri !! #TATIZO

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents