Michezo

Bondia mkongwe afariki dunia

Bondia Jake LaMotta maarufu kama The Raging Bull, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 95.


Bondia Jake LaMotta (wa kwanza kushoto) enzi za uhai wake

LaMotta amefariki dunia Jumanne ya wiki hii nyumbani kwake kwa ugonjwa wa homa ya mapafu ambao ulikuwa ukimsumbua kwa muda mrefu.

Bodia huyo amepigana mapambano 106 enzi za uhai wake katika mchezo huo, ameshinda mapambano 83 na amepigwa 19 wakati huo huo katoka droo mapambano 4.

Katika mapambano hayo ameshinda kwa KO mapambano 30.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents