Bongo5 ExclusivesBurudaniHabariMahojiano

Breaking: Kizz Daniel atolewa Polisi na Harmonize, amchukua na kuondoka naye

Baada ya kukamatwa na Polisi majira ya saa 10 alasiri msanii wa muziki kutoka nchini Nigeria Kizz Daniel hatimae ametolewa katika kituo cha Polisi cha Oysterbay.

Kabla ya kutolewa alikuja msanii wa Bongo Fleva Harmonize majira ya saa mbili usiku na kutumia muda wa takribani saa moja na nusu na baadaye kuondoka naye msanii huyo.

Bado uongozi wa pande zote hujazungumza chochote kuhusu tukio hili je wamemalizana vipi?

Bongofive tutazidi kukuletea walichozungumza na je watalipana au kipi kitaendelea

Related Articles

Back to top button