Burudani

Britney Spears azushiwa kifo na watu waliohack akaunti ya Twitter ya Sony Music

Britney Spears yuko hai, licha ya habari za uongo kuhusu kifo chake, zilizoripotiwa Jumatatu hii.

Akaunti ya Twitter ya label yake, Sony Music ilidukuliwa (hacked) na kukaandikwa tweets mbili zinazodai kuwa mwanamuziki huyo amefariki:

“RIP @britneyspears #RIPBritney 1981-2016” na nyingine “Britney spears is dead by accident! We will tell you more soon #RIPBritney.”

Tweets hizo zimefutwa kwa sasa. Mwakilishi wa Spears iliambia CNN kuwa muimbaji huyo ni mzima wa afya. “I assume their account has been hacked,” meneja wa Spears, Adam Leber, aliiambia CNN.

“I haven’t spoken to anyone… as of yet but I am certain their account was hacked. Britney is fine and well. There have been a few Internet clowns over the years who have made similar claims about her death, but never from the official Sony Music Twitter account,” aliongeza.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents