Siasa
DC Kisarawe Nikki wa Pili, akabidhiwa ofisi rasmi na Jokate Mwegelo (+ Video)
Tukio hili limefanyika katika ofisi za Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe ambapo DC mwenyeji Nickson Simon alimaarufu Nikki wa Pili alipokea na kumkaribisha DC aliyehamishiwa Temeke DC Jokate Mwegelo.