Habari

Diamond ajieleza polisi, aponzwa na kuendesha gari bila kuvaa mkanda na kuachia msukani

Diamond amefunguka na kueleza nini kilitokea baada ya jioni ya leo kusambaa picha zinazomwonyesha akihojiwa na jeshi la polisi.

Diamond akitoa maelezo mbele ya askari

Muimbaji huyo amedai alienda polisi kujieleza kwa jeshi la usalama barabarani baada ya jeshi hilo kudaka clip yake ya video inayomwonyesha aliendesha gari huku akiwa hajavaa mkanda.

Diamond na Kamanda Mpinga

Diamond ametoa taarifa hii

Leo nilireport kituo kikuu cha polisi wa usalama barabarani kutokana na Vidoe Clip tuliyopost naendesha gari barabarani bila kufunga mkanda na pia kuachia usukani na kucheza…. Nikapewa Onyo na Kulipa faini kulingana ya Mujibu wa sheria… tafadhali watanzania na Vijana wenzangu… tuhakikishe tunafunga mikanda pindi tupandapo na tuendeshapo Magari Maana ni Hatari kwa Maisha yetu na inaweza kukupeleka kunyea debe pia…????

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents