Burudani
Diamond alivyompokea Zari Dar, wakumbatiana (Video)
Mama watoto wa @diamondplatnumz , @zarithebosslady ametua jijini Dar Es Salaam huku akiwa na watoto wao wawili @princess_tiffah na @princenillan wakitokea Afrika Kusini.
Wawili hao baada ya kukutana walikumbatiana ambapo Zari akapata nafasi ya kuzungumza na waandishi wa habari.
Kuangalia matukio yote tembelea YouTube YouTube ya Bongo5
Written and edited by @yasiningitu
Shot by @jacka_beleghe