Droo ya robo fainali UEFA imekamilika leo ambapo mabingwa watetezi wa ligi hiyo ya mabingwa barani Ulaya, Real Madrid watachuana na wapinzani wao wa soka la Hispania, Atletico Madrid.
Mechi zingine ni pamoja na PSG v Barcelona, Porto vs Bayern Munich, Juventus vs Monaco. Michuano hiyo itaendelea tena kuanzia mwezi April 14, 15, 21 na 22.