Habari

Ennovate Hub watangaza fursa kwa vijana (Video)

Kampuni ya @ennovatehub yenye makazi yake Mikocheni Dar es Salaam imetangaza fursa ya kuwainua vijana wabunifu kupitia teknolojia kwa kuwatafutia pesa za kuendesha miradi yao pamoja wawekezaji wakimataifa.Ijumaa hii wametangaza vijana sita wenye mawazo ambao tayari wameshasaidiwa.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents