Burudani

Fergie na Josh Duhamel watangaza kuachana

Mwanamuziki kutoka Marekani Fergie amebainisha kutengana na mumewe Josh Duhamel, baada ya kudumu kwenye ndoa  kwa  miaka nane.

Kwa mujibu wa mtandao wa People, umeeleza kuwa Fergie na mumewe Josh, wanatarajia kuachana ila wataendelea kushirikiana mambo kadhaa ikiwemo kumlea vyema mtoto wao wa kiume mwenye miaka nne.

“With absolute love and respect we decided to separate as a couple earlier this year. To give our family the best opportunity to adjust, we wanted to keep this a private matter before sharing it with the public. We are and will always be united in our support of each other and our family.,” wamesema wawili hao wakati wa mahojiano maalum na mtandao wa People.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents