Habari

Forbes wataja maeneo 20 yakutembelea duniani kwa mwaka 2020, Afrika Mashariki yatoa jiji moja (+picha)

Jarida maarufu duniani la Forbes kushirikiana na kampuni ya utalii ya Ovation Travel Groups imetaja maeneo 20 bora zaidi  yakutembelea kwa mwaka 2020.

Image result for Amangiri/Lake Powell, Utah/Antelope Canyon, Arizona

Kwenye orodha hiyo Afrika Mashariki imetoa Jiji moja la Kigali nchini Rwanda huku Afrika Kusini na Morocco zikifanikiwa kuingiza Jiji moja moja.

Forbes kwenye orodha hiyo, wametumia vigezo  vya miundombinu, Idadi ya vivutio vya utalii na usalama wa raia wa kigeni. Tazama orodha kamili ya maeneo ya kutembelea kwa mwaka 2020.

1.  Amangiri/Lake Powell, Utah/Antelope Canyon, Arizona – Marekani

Image result for Amangiri/Lake Powell, Utah/Antelope Canyon, Arizona

2. Palermo/Sicily – Italy 

Image result for Palermo/Sicily

3. Cape Town – Afrika Africa 

Image result for Cape Town

4. Bariloche/Patagonia – Argentina 

Image result for Bariloche/Patagonia

5. Kigali – Rwanda   

Image result for kigali

6.  Marrakech – Morocco 

Image result for marrakech

7.  Porto/Douro Valley – Ureno

Image result for Porto/Douro Valley

8. Tel Aviv – Israel 

Image result for tel aviv

9. Atacama Desert – Chile   

Image result for atacama desert

10. Dubrovnik – Croatia  

Image result for dubrovnik

11. Tokyo – Japan

Image result for Tokyo

12.  Pigeon Forge, Tennessee  – Marekani

Image result for Pigeon Forge, Tennessee

13. Kotor – Montenegro   

Image result for Kotor - Montenegro

14. Cabo San Lucas/Los Cabos – Mexico  

Image result for cabo san lucas/los cabos

15. Chiang Mai – Thailand   

Image result for chiang mai

16. Machu Picchu/Cusco – Peru  

Image result for Machu Picchu/Cusco

17. Melbourne – Australia  

Image result for Melbourne

18.  Mendoza – Argentina    

Image result for Mendoza - Argentina

19. Vira Vira – Chile    

Image result for Vira Vira - Chile

20. San Miguel del Allende – Mexico    

Image result for San Miguel del Allende - Mexico

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents