Habari

Hali ilivyokuwa wakati Yono wanaifunga Hotel ya Blue Pearl (Video)

Kampuni ya udalali ya YONO asubuhi ya leo November 9, 2017 imeifunga Hotel ya Blue Pearl iliyopo kwenye jengo la Ubungo Plaza Ubungo Dar es salaam kutokana na Mmiliki wake kudaiwa kodi ya pango ya tsh bilioni 5.7. Mlinzi wa jengo lilo kwa sasa, Yusuph Mwenda aliyewekwa na Kampuni ya Yono amefunguka kuzungumzia hali ilivyokuwa asubuhi ya leo wakati wa kifanya zoezi hilo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents