Burudani

Hivi ndivyo NTV walivyomkejeli Ray C baada ya kudai anamzimia Rais Uhuru Kenyatta (Video)

Kutoka kutangaza kutafuta mume Instagram hadi kukiri kumpenda Uhuru Kenyatta, Ray C anaendelea kutengeneza vichwa vya habari Afrika Mashariki.

1389574_102039536812596_585469312_n

Weekend hii muimbaji huyo ambaye jina lake halisi ni Rehema Chalamila, ameamua kufunguka hisia zake juu ya Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta.

“Lemme tell u a lil secret about Uhuru!!!!I love this guy to death!I have had a crush on him for soooooo long!!!huwa namuota sana sana!!!!I love everything about him!His Attitude, His accent!Total Package,” aliandika Ray C.

Ujumbe huo umepokelewa kama moja ya vituko vilivyotokea hivi karibuni hasa ukizingatia kuwa Uhuru ni mume wa mtu. Kituo cha runinga cha NTV kiliipa nafasi habari hiyo kwenye taarifa yake ya habari ya saa tatu usiku:

https://www.youtube.com/watch?v=8O54lK_oAV4

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents