Burudani

Idris ashambuliwa baada kutafsiriwa kuwa ametaja watu 4 ndio waliomuwezesha kushinda Hotshots

Iko wazi kuwa ni watu wengi wa Afrika Mashariki walioshiriki kumpigia Kura Idris Sultan na kumuwezesha kuibuka mshindi wa BBA 2014. Na katika mahojiano mbalimbali ambayo amekuwa akifanyiwa toka ashinde amekuwa akitoa shukrani zake kwa Watanzania, Afrika mashariki na Afrika kwa ujumla.

Idris2

Lakini tafsiri ya maneno machache aliyoyaandika mshindi huyo wa Hotshots kwenye akaunti yake ya Instagram, imeamsha hasira za mamia ya watu waliojitoa kwa hali na mali kumpigia kura hadi kufanikisha ushindi wake wa $300,000.

Idris ameshambuliwa na followers wake walijitoa kwa hali na mali kumpigia kura lakini (kwa tafsiri yao) wameona kama amewatenga na kuwashukuru watu wanne na kuandika kuwa ndio wako nyuma ya ushindi wake.

Idris fans

Amepost picha (hapo juu) na kuandika : “People behind my winning, its out of love that i got to have all on my side. #idrisgivesback #africa1st #spreadinglove @banye_loverance @gladyzshao @hamisahmobetto @makeupbyjojo”

jjk

Hata hivyo muda mfupi uliopita Idris ameandika post nyingine ya kuwashukuru watu wote:

“There is so much i can say but there will never be enough words to say how much am greatful for everything. Congratulations to my voters too you have won everything including my heart and passion is diverted to all of you now. This is to all my fans, youre beautiful people.”

Hizi ni baadhi ya comments za post ya mwanzo:

marthacasablanca @idrissultan
i would ask u to delete ths post so many people voted for u including celebrities,u should thank everyone in general bt what u have done makes u mean.umeanza kujisahau

msalawelu @idrissultan
kuna waliopiga debe kuliko hao mdogo wangu,ni wengi sana tena ila tu hawana majina kama hao ndo maana inakua ngumu kuwafahamu,ila huyu nae alitishaje sasa @salmawaj yan mpk @samantha_bba_hotshot anamjua maana ilikua balaa

agnesazina
We Idris umechemka kwa hilo kama vipi bora ungenyamaza tuuuu, mie na familia yangu tumepiga kura balaaa na tulikua tunahimizana kweli kukupigia kura na hapa nilipo na dada ameumia mguu kwaajili ya kushangilia ushindi wako baada ya kukupigia kura afu unaeka post kweliiiii? Plsssssss. Tuombe msamaha kwa kweli, tunajua ulitaka kuwarusha marafiki zako kwa support waliyoonyesha but haipendezi mbele yetu sisi tuliokupigia kwa mapenzi tuuu bila kukujua, nimeumia balaaaaaaaa. Anyways love you still

junerlin112
Can u plz put it more appropriate, just say some of the people behind ur winning bt saying people fully behind ur winning unakosea kaka….coz I spent a lot of tym pumping votes for u n All Tzs too were voting….so ucjisikie vbaya am just trying to tell u something which z real ma bro me nakukubali sana @idrissultan

essie_heavens
I regret hvn voted 4 u…Ugandanz voted 4 u bse of Ellah bt u endedup praising samantha yet southAfrica did nth 4 u.Only God can reveal people’s hearts..otherwise ur so immature en mean@idrissultan

viviswai
Think twice kabla hujaandika kitu, ua public figure now…,the issue sio kuwataja hao bt maneno yaliotumikaa yanaleta utata… #ushauri @idrissultan @idrissultan we are waiting utupe shoutout sisi mafans wako tuliokupigia kura thou hutujuiii…itatupa moyo..

pascalmwanjabala
Hapa ndo utaona umuhimu wa macelebrity kuwaachia hizi kazi watu wanaojua kila kinacboendelea insta na wana uelewa wa PR na kwenye press release awaachie PR,sasa hapa kwanini asingetoa shukrani general hafu akaandika having dinner with among people who were behind my success,hapo yupo na watu ambao hawajawahi hata kupost hamasa social media watu wapige kura sasa sijui hiyo support walikuwa wanampatia wapi…watu wamefungua hadi fan page kama mmoja wa big brother africa tz fans kwa ajili ya kumsapoti hafu yeye anasema only four people were behind his success na watu wanablame dizaini hana habari na inawezekana hasomi kabisa comments….kweli mchawi wa macelebrity wetu ni hela na wa kuwaondoa kwenye hilo tego amekata tamaa…inaboa kwa kweli

the_bestonline_shopping_
@wemasepetu mheshimu huyu madame nvotote kwa kuona kwake nlikuwa hata sikujui @idrissultan @idrissultan

jennyshy @idrissultan
I am also behind your wining lol!!?

mimiisipe
mi niliona kwa Diamond akihamasisha aisee ndio nika vote na kuvoteeee…ukitaja majina kwa mmoja mmoja utachemsha

nassyn
Nahisi @bigbrotherafrica_tanzania_fans ndo alikuwa na mchango mkubwa zaidi

lilywachuga88
we nawe badala ushukuru watu wote kwakukupigia kura unaishia kubaguabagua wakati watu wamemaliza ela zao kukupigia kura leo unaanza kumention @idrissultan au ndo mazarau

hossy_irrey
Jmn kwani kasema hao ndo waliompigia kura hatujui anachoamaanisha tunaanza tu kulaumu duuuh @houseovbedsheet

magrethshirima
Nimeonaa ila ila cjawh kuona huyo mabeto ameweka hata pic yako ila banye ndo katuhamasisha sana na agness kwa jinsi navojua hao ndo walikua ma adimn n way najua usingeweze kutaja wote ila kama umemtaja banye umetaja timu nzima @banye_loverance @idrissultan

mm_ameer
yanu hata lulu hajamtaja maana mm niliona kwake.ndo nikavote…..utushukuru watanzania wote tulihamasishana dana @idrissultan.99

jclara280
hajabagua mtu sema ana-aknowledge timu aliyoiacha nasi kwamba kamaanisha hao tu ndio waliopigia kura na ndio maana kasema its fortunate he has got all akimaanisha watu wengine waliompigia kura

sumakadutu
Amesahau jamani sijui haja pitia hata @bigbrotherafrica_tanzania_fans Kuona makubwa jamani watu walikesha napia asianze kuandika kizungu kabisa atatuchanganya duuuh @dejoli08 Njoo umesahaulika leo.99

ramarblazze
nahisi ungewashukuru teamtz kwa ujumla na nchi zilizokupigia kura ndo ingekuwa point ya maans xana kuliko kutaja majina ya watu wako wakaribu.

marthababere
Behind ur winning!!!!!!!!????,shukuru Tz nzima watu tumepiga kuraaa weeee lol

mjpierr
Juzi alianza na his workmates wa pale #iviewstudio leo kaja kwa watu famous. Who knows? Maybe kesho atakuja kwetu sisi tusiojulikana. Coz naona hashtag moja pale kaeka #idrisgivesback @idrissultan

viviswai
Mimi hao hata sikuwajua may b kama waliweka concert kuhamasishaaa watu kupiga kura, ndo nawasikia leo…bt @bigbrotherafrica_tanzania_fans huyu ndo namjuaaa, alihamasishaaa..!

sumakadutu
Nimeshangaa sana bila kumuona huyu mtu @bigbrotherafrica_tanzania_fans naomba upite uangalie kwanza ndo uje kutoa shukran zako yani watu walikesha bila shida natulikutetea kwakina boko haramu watu sijawaona ila uliowataja sijaona wapi walikusapoti ila sio mbaya lakn nibora usinge taja jina

shilahteeny
Idris darling…yo so a liar…dat those pipo waa behind yo winning…yet it was africa#figgies voice

kemtty
People behind your winning? Are they the one that Rigged the voting in your FAVOUR bcos d last time I checked loads of people voted for u why appreciating them alone.

abbymexahnk
Dah kuna josee chameleon, Kuna zari thr boss bla bla, Navio na wengine, kenya walikuepo akina hudah na wengine bado Rwanda kulikua na page kama 4 na maceleb kadhaa wanasupport hata haooooo… The mastermind behind our courage @bigbrotherafrica_tanzania_fans @bigbrotherafrica_tanzania_fans @bigbrotherafrica_tanzania_fans huyu jamaaa i dont ave any idea ni nani but he did a hell of a job. Japo apote hapa ataona nani walikua behind his back bongo hata nje

lucyikupa @idrissultan
kwahyo hao ndo waliopiga campain eeehhh aisee sikutegemeaaa nilijua utashukuru watanzania wotee na africaa kumbe watu tulibembelezaa voteee Leo hii eti hao na wamesababisha ushindaa duuuuuu umeshindwaa kumshukuru hata aurth loh Luis we kibokoo

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents