Promotion

Picha: Mgahawa mpya ‘VVK’ wa Khadija Mwanamboka wazinduliwa jijini Dar

Mbunifu wa mavazi, Khadija Mwanamboka amezindua mgahawa mpya uitwao VVK pamoja na super market itakayokuwa inatoa huduma ya chakula cha aina mbalimbali pamoja na kuandaa events.

Ndani ya VVK
Mteja akifanya shopping ndani ya VVK Super Market

Akizungumza na Bongo5 jana Kinondoni jijini Dar es salaam, Khadija alisema mgahawa huo pia utakuwa unasambaza chakula kwa order maalum kwa wateja watakaohitaji.

4K0A5075
Baadhi ya wadau wakipata chakula

“Siku za wiki tutatoa namba za simu halafu wateja wanapiga simu na uletewa chakula kwa gharama ndogo utakayolipia lakini weekend Ijumaa, Jumamosi na Jumapili kutakuwa kuna bufee, yaani mtu anaweza akajipakulia mwenyewe chakula kwa gharama nafuu. Na chakula ni cha kiswahili, wali, ugali, mboga za majani ni vya asili,” amesema Khadija.

4K0A5066
Asia Idarous akiwa ndani ya VVK

“Halafu vile vile kuna super market hapa ambayo tumeweka kashata za kila aina tuna mboga mboga za wakulima wa Lushoto, tuna matunda mbalimbali, mafenesi yakiwa kwenye makopo mazuri unapewa na umma unaweza ukala hata kwenye gari. Pia unaweza kupata chakula kwa njia mbili, kuna application inaitwa ‘Hellofood’ ipo kwenye play store unaweza ukai-store kwenye simu yako halafu ikifungua utakuta migahawa mingi, utautafuta VVK ambao ndio huu, ukifunguka utakuta huduma za vyakula tulivyokuwa navyo. Sasa pale ndo unaweza kuchagua chakula unachotaka na sisi tutakuletea.”

“Huduma zingine unaweza ukatupigia sisi wenyewe VVK kama unataka chakula au kwaajili ya event kwa namba 0755551077 utahudumiwa. Sisi tupo block 41 nyuma ya jengo la Airtel, mtaa unaitwa Maji Street ni mtaa wa kwanza kushoto baada ya Dawasco.”

Fresh Juice
Fresh Juice

Mambo ya mahakuli
Mambo ya maakuli

4K0A5034
Muuzaji wa VVK

4K0A5069
Asia Idarous na mdau wake wakiwa ndani ya VVK

4K0A5045
Mgahawa wa VVK kwa njee

Parking
Parking ya VVK

Shamim  Mwasha
Shamim Mwasha akipata fresh juice

4K0A5010

4K0A5011

4K0A5014

4K0A5016

4K0A5017

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents