HabariMichezo

Je, Simba kumtangaza Akwasi Appiah kama CEO ?

Klabu ya @simbasctanzania imehusishwa na kutaka kuingia mkataba na James Kwesi Appiah (Akwasi Appiah) kama CEO mpya wa timu hiyo akirithi mikoba ya Barbara Gonzalez.

Akwasi Appiah ni raia wa Ghana ambaye amewahi kuhudumu kama Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa hilo 2017-2020.

Mwamba huyo wa soka amewahi pia kukipiga uwanjani kama beki wa kushoto ndani ya kikosi cha timu ya taifa na klabu za Asante Kotoko na Prestea Mine Stars

Imeandikwa na @fumo255

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents