Michezo

Jibu la Haruna Niyonzima kuhusu kiwango chake ndani ya Yanga (+Video)

Swali aliloulizwa Kiungo wa klabu ya Yanga, fundi wa mpira Haruna Niyonzima, Je Unazungumziaje kiwango chako ukilinganisha na misimu iliyopita ?

”Nikisema nizungumzie kiwango changu, kulinganisha na misimu iliyopita nitakusumbua sana kwa jibu langu, kwa sababu mwisho wa siku naamini, Haruna aliyepita siyo Haruna wa leo, lakini ni seme mimi bado ni mchezaji mzuri na kiwango changu ni kizuri,”- Kauli ya Kiuongo fundi wa mpira kutoka ndani ya kikosi cha timu ya Wananchi Yanga SC

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents