Michezo

Joshua vs Takam hapatoshi Octoba 28

Bingwa wa dunia wa uzito wa juu nchini Uingereza, Anthony Joshua inaamini ataendelea kuwa bora na imara kwa zaidi ya miaka 10 ijayo.

Joshua mwenye umri wa miaka 28 ameyasema hayo katika kipindi hiki ambacho anakabiliwa na mchezo wa kutetea mkanda wake wa WBA na IBF dhidi ya Carlos Takam unaotarajiwa kupigwa hapo kesho siku ya Jumamosi ya Octobar 28 katika Uwanja wa Principality mbele ya mashabiki 78,000 huko Cardif.

Joshua kutetea ubingwa wake mbele ya muafrika

Joshua anaamini anaweza kufurahi kama atakuwa katika kiwango cha juu na kuweza kukilinda kiwango hicho kwa zaidi ya miaka 10.

Klitschko amkimbia Joshua atangaza kustaafu ngumi

“Ninajisimamia vizuri ili kuwa bingwa bora wa dunia wa uzito wa juu kama nilivyo, nitaendelea kuwa na nidhamu katika mchezo wangu na utaendelea kunisikia

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents