Burudani

Kanye West apigwa ‘boo’ za kutosha baada ya kudai angempigia kura Trump

Kanye West si mtu wa mchezo mchezo lakini Alhamis hii maneno yake yalimtokea puani.

kanye-west-time-100-2015-titans

Ni kwasababu alijikuta akizomewa vikali Alhamis hii baada ya kuwaambia watu watu waliokuwa wamehudhuria show yake kuwa angempigia kura Donald Trump.

“I told you all I didn’t vote right? … But if I were to have voted, I would have voted for Trump,” alisema kwenye show yake ya San Jose, California.

“This is about the idea of a black guy liking Trump. They thought they had me because … just because I was black or just because I was a celebrity. But Trump is our president. And that would’ve been my vote, so I feel right, ” aliongeza.

Maneno hayo yaliwakera watu wengi waliomzomea. Yeezy amedai kuwa atawania urais wa Marekani mwaka 2020.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents