Habari

Kijana mwingine wa kitanzania awezeshwa na Airtel Fursa

Tazama video hii kuona Airtel Fursa ilivyomuwezesha Maryana anayejishughulisha na uvuvi mkoani Mwanza kufikia ndoto yake ya kuwa supplier wa samaki mkubwa kabisa nchini.

YouTube video: https://youtu.be/-Fg_XLIYE-8

Airtel Fursa ni mradi wa kijamii wenye dhumuni la kuhamasisha vijana, kuwapa nafasi ya kujiendeleza kibiashara na ujuzi utakoawawezesha kuimarisha biashara zao.

Bofya hapa: http://goo.gl/ECdVkc na wewe ukamate fursa na Airtel.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents