BurudaniUncategorized

Kisa ushauri wa ndoa, Ciara apokea kichambo

Msanii wa muziki kutoka Marekani, Ciara amejikuta akipokea kichambo katika  mtandao wa kijamii wa Twitter baada ya kuweka video na kuwataka wanawake wabadilike iliwaweze kuolewa.

Mrembo huyo aliyekuwa na mahusiano na rapper Future  na kubahatika kupata naye mtoto mmoja aitwaye Zahir Wilburn, kabla ya kuolewa  na Russel Wilson  miaka miwili iliyopita  ameweka video hiyo ambayo inawataka wanawake wabadilike iliweze kuolewa.

Hata hivyo mrembo huyo alijikuta akirushiwa maneno yanayomtaka siongee hivyo kwani hata yeye alikuwa katika hali mbaya kabla ya kuolewa.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents