Michezo

Klabu ya Simba ina nafasi ya kurejea kileleni leo ikiifunga Ndanda FC ya Mtwara

Klabu ya Simba SC leo itakuwa ina nafasi ya kurejea kileleni mwa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara iwapo itashinda dhidi ya Ndanda FC ya Mtwara.

SIMBA-YANGA-4

Simba wanaikaribisha Ndanda leo katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam wakihitaji ushindi ili kuongoza ligi.

Na kocha wa Wekundu hao wa Msimbazi, Jackson Mayanja amesema kwamba timu yake ipo vizuri baada ya maandalizi ya tangu Jumatatu.

“Tunatarajia mchezo mgumu na wenye ushindani mkubwa, lakini tumejiandaa kushinda,”amesema Mayanja.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents