Burudani

Picha: Davido asherehekea dili la Sony, aeleza masharti aliyowapa hadi akakubali kusaini

Davido amesherehekea dili lake la Sony Music nchini Nigeria. Kwenye sherehe hiyo, watu maarufu kwenye kiwanda cha muziki nchini humo walihudhuria.

Tosyn-Bucknor-Davido-and-Gbemi

Alichukua pia fursa kuelezea mkataba wao. “Nilitumia karibu mwaka mzima kwenda na kurudi hadi dili hii kukamilika,” alisema. “Nilitaka kuhakikisha kuwa naendelea kubaki na udhibiti wa kazi yangu na kwamba vigezo vya dili hii vilikuwa vizuri kwangu.”

Aliongeza kuwa album yake itatoka baadaye mwaka huu na ataachia wimbo mpya mwezi huu. Tazama picha zaidi za event hiyo.

Lola-OJ-and-Lola-Rae-

Davido-and-Victor-Njoku

Davido-and-new-HKN-member-Mayokun

Davido-and-Lola-Rae

Ayeni-Adekunle-Davido-and-Kamal-Ajiboye-e1457361095828

30-DAVIDO-001

22-DSC_3135-001

02-Davido-2-001

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents