Michezo

Kocha wa Simba Patrick Aussems “Tumepangiwa kundi laini sana”

Kocha mkuu wa klabu ya Simba Mbelgiji Patrick Aussems amefunguka kuhusu kundi ambalo timu yake ya Simba imepangiwa yaani kundi D na kusema “Kundi liko wazi sana na wana nafasi ya kusonga mbele katika michuano hiyo mikubwa barani Afrika ya klabu bingwa”

Kupitia ukurasa wake wa Twitter kocha huyo amesema haya:-

Ikubukwe kwamba Simba katika kundi hilo D imepangiwa na klabu za Al Ahly ya Misri, JS Saoura kutoka nchini Algeria, AS Vita club ya Congo na yenyewe Simba, Timu hiyo ilifanikiwa kutinga hatua hiyo baada ya kuitoa timu ngumu kabisa ya Nkana kutoka nchini Zambia.

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents