BurudaniVideos

Kusah – Aunt Ezekiel hata aki-cheat na mwanaume 100, bado ni wangu, hata simu yake sigusi (Video)

Hit maker wa wimbo I wish @_kusah_ amefunguka mengi kuhusu yeye pamoja na Mama mtoto wake ambaye pia ni staa wa filamu @auntyezekiel .

 

Muimbaji huyo amefunguka kwamba mpenzi wake huyo hata kama atam-cheat mara 100 bado ataendelea kuwa wake kwa sababu anampenda sana.

Kuangalia full interview tembelea YouTube ya Bongo5

Written and edited by @yasiningitu

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents