Burudani

Lulu: Majizzo Ahsante kwa kunipa heshima ya kuwa mke, umenisugulisha benchi nakupenda hivyo hivyo

Baada ya post ya Majizzo chini ya post hiyo alikuja mke wake Elizabeth Michael Lulu na kuandika ujumbe huu:

“Wachaaa,Mumewangu huyo Na waraka 👏🥰 Asante kwa kunichagua…Asante kwa kunipenda,kunijali,kuniheshimu na kunikubali kwa jinsi nilivyo tangu siku ya kwanza…Na zaidi Ahsante kwa kunipa heshima ya kuwa mke wako❤️ Japo umenisugulisha benchi,Nakupenda hivyo hivyo mwaego 🤣 @majizzo

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents