Habari

Maandamano yaibuka kupinga sheria  ya Corona Ufaransa

Zaidi ya watu laki moja wameandamana kote Ufaransa kupinga hatua za hivi karibuni za serikali za kuwashinikiza watu kwenda kuchanjwa.

Serikali inalenga kuzuia maambukizi ya virusi vipya aina ya Delta vinavyo sambaa haraka.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents