Habari
Makalla amrithi Makonda nafasi ya Ukatibu na Uenezi CCM
Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) iliyokutana leo Aprili 3,2024 jijini Dar es Salaam imemteua Amos Makalla kuwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo.
Makalla amechukua nafasi ya Paul Makonda ambaye ameteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha.