Michezo

Man City kuikaribisha Real Madrid – UEFA

Michuano ya klabu bingwa barani Ulaya hatua ya Nusu fainali inaendelea tena leo kwa mechi ya Manchester City watawakaribisha Real Madrid.

article-3558220-3387CEAA00000578-769_636x383

Manchester City wakiwa na pigo kubwa la kumkosa Kiungo wao kutoka Ivory Coast, Yaya Toure.

3386080600000578-3558175-image-a-61_1461610716617

Katika mchezo mwingine Atletico Madrid na Bayern Munchen watakukutana kesho jumatano Jijini Madrid katika Mechi ya Kwanza ya Nusu ya klabu bingwa barani ulaya uwanja wa Estadio Vicente Calderon

Atletico chini ya Kocha Diego Simeone wanatinga hatua ya Nusu Fainali kwa mara ya pili ndani ya Miaka Mitatu wakati Bayern, ambao sasa wapo chini ya Kocha Pep Guardiola, hii itakuwa ni Nusu Fainali yao ya tano mfululizo, Fainali ya Michuano ya hii itapigwa jumamosi tarehe 28.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents