Afya

Masanja Mkandamizaji aungana na Shilole, Goodluck Gozbert kugawa barakoa na sanitizer mtaani (+ Video

Mtumishi wa Mungu Masanja Mkandamizaji @mkandamizaji leo ameamua kurudisha kwa jamii baada ya kuamua kwenda katika kituo cha daladala cha Mkaumbusho kuwapelekea akina Mama na wafanyabiashara wadodogo vifaa vya kujikinga na Corona ikiwemo Ndoo za bkunawia, Sanitizer na Barakoa.

@mkandamizaji ameamua kufanya hivyo kwa lengo la kuwaepusha akina mama ambao wanahudumia watu mbalimbali mfano chakula na mengineyo akiungana na mamantilie @officialshilole msanii wa Injili @goodluckgozbert na Jimmy.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents