Burudani

Mashabiki wapendekeza jina hili kwa mtoto Kylie Jenner na Travis Scott

Ikiwa ni masaa machache tokea ibanike kuwa mrembo kutoka familia ya Kardashian, Kylie Jenner amejifungua mtoto wakike, hatimaye mashabiki wa mrembo huyo wameanza kupendekeza jina la mtoto.

Jina la mtoto huyo linalopendekezwa na mashabiki wa Kylie ni ‘Butterfly’ hii ni kutokana na mlolongo wa binti huyo na mpezi wake kuwa na mapenzi wake kuwan na tatoo ya kipepeo ‘Butterfly’ miguuni mwao pia Kylie kuonekana akiwa na mapambo yenye logo ya Butterfly.

Taarifa za Kylie kujifungua mtoto zimetolewa kupitia mtandao wa kijamii wa Twitter na mrembo huyo, Kylie mwenye miaka 20 ameanikiwa kupata mtoto huyo wa kike na rapper Travis Scott ambaye amerithi mikoba ya mapenzi ya rapper Tyga.


https://www.instagram.com/p/Ba9wRLvllwy/?utm_source=ig_embed

https://twitter.com/TheCheekySarah/status/960270531558871040?ref_src=twsrc%5Etfw&ref_url=https%3A%2F%2Fwww.thesun.co.uk%2Ftvandshowbiz%2F5504481%2Ffans-are-convinced-theyve-found-out-what-kylie-jenner-has-called-her-baby-after-they-spot-cryptic-clues-in-her-pregnancy-diary%2F

Hata hivyo bado mpaka sasa wawili hao hawajaweka wazi jina la mtoto wao hadharani.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents