Burudani

Mastaa 10 wanaoingiza pesa nyingi kwa kupost tangazo Instagram

Instagram sio tena sehemu ya kupost picha pekee kwaajili ya kuuza sura kama zamani, mtandao huyo kwa sasa unawaingizia pesa nyingi baadhi ya mastaa duniani.

Staa wa soka Cristiano Ronaldo na muimbaji Selena Gomez na Kim Kardashian ndio mastaa pekee wanaolipwa pesa nyingi kwa post moja ya tangazo instagram.

Selena ambaye ni namba moja analipwa pound 425400 ambazo ni zaidi ya Tsh Bilioni 1.2, kwa upande wa Ronaldo ambaye ni namba tatu analipwa pound 309382 ambazo ni zaidi ya Tsh milioni 800.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents