Burudani

Mbasha aingia Club kwa mara ya kwanza ‘Nitaanza kuwahubiria injili, Diamond amenialika Wasafi Festival’ (+video)

Muimbaji wa Injili nchini Tanzania, Emmanuel Mbasha usiku wa kuamkia jana ameingia Club kwa mara ya kwanza kwa mualiko maalumu kutoka kwa Diamond Platnumz pia kuangalia namna ya kutoa neno la Mungu kwenye kumbi za starehe kama Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam mwezi uliopita alivyowaomba viongozi wa dini kufanya hivyo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents