Burudani

Meek Mill akanusha kumchumbia Nicki Minaj, asema bado wanasomana kwanza

Rapper Meek Mill amejibu swali ambalo watu wengi walikuwa wakijiuliza kama ni kweli amemchumbia Nicki Minaj.

nicki and meek

Rapper huyo mwenye miaka 28 amekanusha uvumi kuwa amemvisha pete ya uchumba girlfriend wake Nicki Minaj mwenye miaka 32, ulionea baada ya Nicki kupost picha ya mkono wake wa kushoto wenye pete ya almasi kwenye kidole chake cha chanda.

pete

Kupitia mahojiano aliyofanyiwa na The Fader, Meek Mill amethibitisha kuwa uhusiano wao ni wa kweli, lakini kwa sasa sio muda muafaka wa wao kufunga ndoa. Aliongeza kuwa kwa sasa bado wanasomana tabia na mambo mengine.”

“It ain’t really time to get married yet, We’re still learning each other, feeling each other out.”

Rapper huyo ambaye ni mdogo kwa Minaj kwa miaka minne, amesema kuwa hata bibi yake aliamini kuwa amemchumbia Minaj kwasababu hua anaamini kila anachokiona kwenye runinga.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents