Burudani

Member wa Radio & Weasel apata ajali, uongozi wao watoa taarifa

Menejiement inayowasimamia wasanii Radio & Weasel kutoka nchini Uganda imetoa taarifa kuhusu hali ya kiafya ya Radio ambaye alipataja ajali siku ya jana.

Uongozi huu umeeleza kuwa hali ya Radio inaendelea vizuri ambapo anaendelea  kupatiwa matibabu hospitalini na hali yake si mbaya kama inavyokuwa ikiripotiwa kwenye baadhi ya vyombo vya habari na mitandao.

Hi Family,

Yesterday night, Radio was involved in an accident and he is currently receiving the best treatment at Case Clinic.

The situation is not alarming as being reported on social media by some people. We would like to make it clear that RADIO is getting better and right now is out of comma. Please disregard all the unnecessary reports going around.
We do appreciate all your love and support during this time. Continue praying for our brother #Radiology

Management.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents