Burudani

Michael Jordan sasa ni bilionea, aingia kwenye orodha ya Forbes kwa mara ya kwanza

Jarida la Forbes limetoa orodha yake ya mwaka ya mabilionea, na mchezaji mkongwe wa mpira wa kikapu Michael Jordan ameingia rasmi kwenye orodha hiyo kwa mara ya kwanza.

NBA: Utah Jazz at Charlotte Bobcats

Jordan ni miongoni mwa mabilionea wapya 290 walioingia kwenye orodha hiyo iliyotoka Jumatatu (March 2) na amekamata nafasi ya 513.

Forbes wameandika:

“The most famous rookie on the billionaires list? Michael Jordan, arguably the greatest basketball player of all time and indisputably the best-paid athlete of all time. Most of his cash comes from Nike payouts on his iconic brand. The Jordan brand grossed an estimated $2.25 billion in 2013, earning his Airness some $90 million. But his most valuable asset is his stake in the Charlotte Hornets, worth more than $500 million.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents