Habari

Michelle Williams wa Destiny’s Child kuja na album ya gospel, atoa teaser ya single mpya ‘If We Had Your Eyes’ (audio)

Member wa kundi la Destiny’s Child Michelle Williams anategemea kutoa album ya gospel baadaye mwaka huu, na jana ameachia teaser ya single yake mpya ‘If We Had Your Eyes’ itakayokuwepo katika album hiyo ambayo bado haijapewa jina.

Michelle

Michelle aliisindikiza teaser hiyo na ujumbe mfupi kwa mashabiki wake:

michelle msg

Wimbo huu mpya wa Michelle utatoka rasmi June 24.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents